Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#Rais Dk.John Pombe Magufuli Afanya Uteuzi,Wengine Wapandishwa Vyeo

TANGAZO
Rais  wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli(picha ya Maktaba)
Saturday, July 16, 2016

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi na watendaji wa taasisi za serikali na awapandisha vyeo maafisa wa polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali, na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.

Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;


1.   Mhe. Augustino Lyatonga Mrema.

·        Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.


·        Mhe. Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake umemalizika.


2.   Prof. William R. Mahalu

·        Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.


3.   Prof. Mohamed Janabi

·        Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.


4.   Prof. Angelo Mtitu Mapunda

·        Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.


5.   Bi. Sengiro Mulebya

·        Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.


6.   Bw. Oliva Joseph Mhaiki

·        Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.


7.   Mwl. Winifrida Gaspar Rutaindurwa

·        Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.


8.   Dkt. Charles Rukiko Majinge

·        Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.


9.   Dkt. Julius David Mwaiselage

·        Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.



Kupandishwa Vyeo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).


Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;


1.      Essaka Ndege Mugasa

2.      Adamson Afwilile Mponi

3.      Charles Ndalahwa Julius Kenyela

4.      Richard Malika Revocatus

5.      Geofrey Yesaya Kamwela

6.      Lucas John Mkondya

7.      John Mondoka Gudaba

8.      Matanga Renatus Mbushi

9.      Frasser Rweyemamu Kashai

10.  Ferdinand Elias Mtui

11.  Germanus Yotham Muhume

12.  Fulgence Clemence Ngonyani

13.  Modestus Gasper Lyimo

14.  Mboje John Shadrack Kanga

15.  Gabriel G.A. Njau

16.  Ahmed Zahor Msangi

17.  Anthony Jonas Rutashubulugukwa

18.  Dhahir Athuman Kidavashari

19.  Ndalo Nicholus Shihango

20.  Shaaban Mrai Hiki

21.  Simon Thomas Chillery

22.  Leonard Lwabuzara Paul

23.  Ahmada Abdalla Khamis

24.  Aziz Juma Mohamed

25.  Juma Yussuf Ally


Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).



Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;


1.      Fortunatus Media Musilimu

2.      Goyayi Mabula Goyayi

3.      Gabriel Joseph Mukungu

4.      Ally Omary Ally

5.      Edward Selestine Bukombe

6.      Sifael Anase Mkonyi

7.      Naftari J. Mantamba

8.      Onesmo Manase Lyanga

9.      Paul Tresphory Kasabago

10.  Dadid Mshahara Hiza

11.  Robert Mayala

12.  Lazaro Benedict Mambosasa

13.  Camilius M. Wambura

14.  Mihayo Kagoro Msikhela

15.  Ramadhani Athumani Mungi

16.  Henry Mwaibambe Sikoki

17.  Renata Michael Mzinga

18.  Suzan Salome Kaganda

19.  Neema M. Mwanga

20.  Mponjoli Lotson

21.  Benedict Michael Wakulyamba

22.  Wilbroad William Mtafungwa

23.  Gemini Sebastian Mushi

24.  Peter Charles Kakamba

25.  Ramadhan Ng'anzi Hassan

26.  Christopher Cyprian Fuime

27.  Charles Philip Ulaya

28.  Gilles Bilabaye Muroto

29.  Mwamini Marco Lwantale

30.  Allute Yusufu Makita

31.  Kheriyangu Mgeni Khamis

32.  Nassor Ali Mohammed

33.  Salehe Mohamed Salehe

34.  Mohamed Sheikhan Mohamed


Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia tarehe 15 Julai, 2016.



Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU

Dar es salaam

16 Julai,2016.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top