Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#Naibu Waziri Muungano na Mazingira Awaongoza Maelfu Ya Wananchi Wa Mji Wa Masasi Kufanya Usafi#

TANGAZO
#PIcHAZ
NAIBU waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Luhaga Mpina akizungumza na wananchi wa Mji wa Masasi waliojitokea kufanya usafi katika Viwanja vya Kaumu.

 KIKUNDI cha MAYAMAYA cha Mjini Masasi kikishiriki zoezi la Usafi
 MKURUGENZI Halmashauri ya Mji wa Masasi Bi.Gimbana Ntavyo mwenye Gloves za njano akishiriki kufanya usafi.

 WANANCHI wa Mji wa Masasi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mazingira Mh: Luhaga Mpina 
 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh: Halima Dendego akiwa na Naibu Waziri wa Mazingira Mh:Luhaga Mpina wakati wa zoezi la usafi.
 MWENYEKITI wa Halmashauri ya Mji wa Masasi Mh: Sospeter Nachunga (Mwenye Kofia Nyeupe) akiwa na baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya mji wa Masasi wakati wa zoezi la Usafi.







TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top