Loading...

BREAKING NEWS>>>>>> NAIBU WAZIRI WA (HUSM) ANASTANSIA WAMBURA ATINGA RASMI OFISINI KWAKE

TANGAZO
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Bw. Assah Mwambene mara baada ya kuwasili katika eneo zilizo ofisi za Wizara hiyo leo jijin Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Naibu Katibu Mkuu wake Bibi. Mwamini Juma Mwalemi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na wapili kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi. Mwamini Juma Mwalemi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top