TANGAZO
Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akisalimiana na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Bw. Assah Mwambene mara baada ya
kuwasili katika eneo zilizo ofisi za Wizara hiyo leo jijin Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Naibu
Katibu Mkuu wake Bibi. Mwamini Juma Mwalemi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akimkaribisha Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili
katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na wapili kutoka
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi. Mwamini Juma Mwalemi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD