Loading...

HALMASHAURI YA MJI WA MASASI YAANZISHA TOVUTI (WEBSITE) ILI KUIPATA TEMBELEA(Masasitc.go.tz)

TANGAZO
HALMASHAURI ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara kwa sasa imefanikiwa kuanzisha TOVUTI (WEBSITE) ya Halmashauri hiyo.
Aidha wakuu wa idara pamoja na wakuu wa vitengo mnaombwa kuunga mkono jitihada hizi.
Ili kutupata tafadhali tembelea www.masasitc.go.tz

IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO.
HALMASHAURI YA MJI WA MASASI. 
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top