Loading...

ABDULAZIZ AHMED ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LINDI MJINI KWA TIKETI YA CCM.

TANGAZO
Na Fatuma Maumba wa Mnyeto,Lindi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi Abdulaziz Ahmed leo amejitokeza mbele ya waandishi wa Habari kutangaza nia yake ya kugombwa ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 Aidha amedai kuwa kilichomsukuma kuwania nafasi hiyo ni kutaka kubadilisha maisha ya wananchi wa jimbo hilo ambao wamekuwa wakikosa huduma mbalimbali za kijamii.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA LINDI, ABDULAZIZ AHMEID,AKIZUNGUMZA NA  WAANDISHI WA HABARI (HAWAPO PICHANI) KUHUSU NIA YAKE YA KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE KWENYE JIMBO LA LINDI MJINI.


TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top