TANGAZO
JENGO LA MAABARA MARIKA SEKONDARI MRADI UMEKAMILIKA NA
THAMANI NI TSHS 38,000,000.CHANZO CHA FEDHA NI SERIKALI KUU.
JENGO
LA MAABARA NANGAYA SECONDARY. MRADI UPO HATUA YA UMALIZIAJI, THAMANI NI TSH
30,862,800, CHANZO CHA FEDHA NI RUZUKU KUTOKA SERIKALI KUU(CDG).
JENGO
LA MAABARA MTAPIKA SEKONDARI LINAVYOONEKANA KWA NYUMA.
JENGO LA MAABARA ANNA ABDALAH SEKONDARI. MRADI UMEKAMILIKA NA
THAMANI NI TSH 28,322,770 CHANZO CHA FEDHA NI RUZUKU TOKA SERIKALI KUU(CDG).
VYUMBA 2 VYA MAABARA ANNA ABDALAH SEKONDARI AMBAVYO
VINAKARABATIWA NA VIPO HATUA YA UPAUAJI KWA THAMANI TSH 8,000,000 CHANZO CHA
FEDHA NI RUZUKU TOKA SERIKALI KUU(CDG).
JENGO
LA MAABARA MASASI GIRLS SECONDARY. LILILOKAMILIKA KWA UKARABATI WENYE THAMANI
YA TSH 10,000,000. LINAVYOONEKANA KWA NYUMA.
JENGO LA MAABARA ANNA ABDALAH SEKONDARI MRADI UMEKAMILIKA NA
THAMANI NI TSH 28,322,770 CHANZO CHA FEDHA NI RUZUKU TOKA SERIKALI KUU(CDG).
VYUMBA 2 VYA MAABARA MARIKA SEKONDARI AMBAVYO VINAKARABATIWA,
THAMANI TSH 8,000,000 NA VIPO HATUA YA UMALIZIAJI, CHANZO CHA FEDHA NI RUZUKU
TOKA SERIKALI KUU KUU(CDG).
JENGO
LA MAABARA MASASI GIRLS SEKONDARI KAMA LINAVYOONEKANA KWA NYUMA UPANDE WA UBAVUNI.
JENGO
LA MAABARA NANGAYA SEKONDARI MRADI HUO UPO KATIKA HATUA YA UMALIZIAJI, THAMANI NI TSH
30,862,800, CHANZO CHA FEDHA NI RUZUKU KUTOKA SERIKALI KUU (CDG).
JENGO
LA MAABARA VYUMBA 2 MPINDIMBI SEKONDARI. LINAVYOONEKANA UPANDE WA UBAVUNI.
UJENZI UPO HATUA YA UFUNGAJI WA MILANGO.
CHUMBA
CHA MAABARA MASASI DAY SEKONDARI UJENZI UPO HATUA YA GEBO, THAMANI TSH
15,000,000,CHANZO CHA FEDHA NI SERIKALI KUU(CDG).
JENGO
LENYE VYUMBA 2 VYA MAABARA SULULU SEKONDARI. LINAVYOONEKANA KWA NYUMA.
VYUMBA VITATU (3) VYA MAABARA MTANDI SEKONDARI,
VINAVYOONEKANA KWA MBELE, UJENZI UPO HATUA YA UPAUAJI.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD