Loading...

Nimekuwekea Hapa Picha Za Matukio ya Sherehe za CCM Jimbo La Masasi Hii Leo Wakisherehekea Ushindi wa Chuachua

TANGAZO
 Wapenzi na wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Masasi wakisherehekea ushindi wa mgombea wao wa nafasi ya ubunge jimbo hilo Rashid Chuachua hii leo nje ya ofisi ya CCM wilaya.


 Mbunge mteule wa jimbo la Masasi (CCM) Rashid Chuachua akiongea na wanachama pamoja na wananchi wa jimbo la Masasi nje ya ofisi ya CCM wilaya ya Masasi.
 Rashid Chuachua mbunge mteule wa jimbo la Masasi akiongea na waandishi wa habari ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Masasi kuhusu namna atakavyotekeleza ahadi zake kwa wananchi waliomchagua

Wanachama wa chama cha mapinduzi wakifuatilia sherehe hizo za ushindi wa mgombea wa CCM jimbo la Masasi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top