Loading...

MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU NAMNA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI YAANZA LEO

TANGAZO
 Mafunzo ya siku tano yaliyoandaliwa na shirika la Internews kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Lindi na Mtwara yameanza hii leo katika ukumbi wa Laso View Hotel manispaa ya Mtwara Mikindani.
Mwezeshaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari Wenche Mushi  akitoa mada hii leo kwenye ukumbi wa Laso View Hotel manispaa ya Mtwara.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top